Uchaguzi 2025

Kura yako haki yako jitokeze kupiga kura

Udahili Dirisha la Tatu (Masters)



Taarifa ya Dirisha la Tatu la Maombi

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo katika kampasi ya Dar es Salaam kwa masomo yatakayoanza mwezi Novemba, 2025 kwa Dirisha la Tatu kuanzia tarehe 06 – 10 Oktoba, 2025 katika program zifuatazo:

  • Bachelor of Accountancy and Economics with Education
  • Bachelor of Commerce and Accountancy with Education
  • Bachelor of Digital and Technology Solutions Management with Apprenticeship

Pia Chuo kinaendelea kupokea maombi ya kujiunga na masomo ya Shahada ya Uzamili (Master’s Degree) katika fani zifuatazo:

  • Master's Degree in Project Management, Monitoring and Evaluation
  • Master Of Business Administration in Leadership and Governance
  • Master's Degree in International Business Management
  • Master's Degree in Information Technology Project Management
  • Master's Degree in Information and Communication Technology for Development
  • Master's Degree in Procurement and Supply Chain Management
  • Master Of Business Administration in Marketing Management
  • Master Of Business Administration in Human Resources Management
  • Master Of Business Administration in Finance and Banking

Sifa za kujiunga na programu napatikana kwenye tovuti ya chuo pamoja na vitabu vya mwongozo wa udahili (Admission guidebooks).
Dirisha la tatu la maombi kwa ajili ya Shahada ya Kwanza (Bachelor’s Degree) litafunguliwa tarehe 06 na kufungwa 10 Oktoba, 2025.
Waombaji watume maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Chuo www.cbe.ac.tz au fika katika kampasi zetu. Gharama za maombi ya kujiunga ni bure.


Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia:
Barua pepe: admissions@cbe.ac.tz
Simu: 0777 151 323
Tovuti: www.cbe.ac.tz

“KARIBU CBE, MABINGWA WA ELIMU YA BIASHARA”

 

Click Here to Apply