TAARIFA KWA UMMA

Rate this item
(4 votes)
TAARIFA KWA UMMA

Napenda kutumia fursa hii kwanza kuwapa Watanzania wote pole kwa mapambano ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19).

Kumekuwepo na habari za upotoshaji zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazowaarifu Wanachuo wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuwa kuna masomo yatakayotolewa kwa njia ya mtandao (Online Learning) ambayo yataanza tarehe 04/05/2020 ambayo yatalipiwa kiasi cha fedha za Kitanzania 30,000/= na zilipwe kwa mhasibu wa Chuo kupitia namba 0766 608 886, Robert Roger.

Naomba kutoa taarifa kwamba habari hizi ni uzushi na za kutaka kuwaibia fedha Wanachuo wetu. Naomba tuzipuuze, tushirikiane kuwapata hawa watu na kuwafikisha kwenye vyombo vya dola ili wachukuliwe hatua stahiki. Naomba habari hizi za uzushi zipuuzwe.

History of CBE

The COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE) was established in 1965 by the Act of the Parliament. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION Act No. 31 of 1965. His Excellency, J.K. Nyerere, the first President of the United Republic of Tanzania officially opened the new College in January 1965. The College was officially named the “College of Business Education” (CBE). The said Act of Parliament gives the College its legal status as an autonomous institution with its Governing Body. The College shall be governed and administered in accordance with the provisions of this Act.

CONTACT US

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself.

Address : Bibi Titi Mohamed Rd. P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Hotline : +255-022-2150177

light arrowCALL FOR PAPERS FOR BEDC2020, SEE DETAILS HERE