Guest of Honour

Guest of Honor, Permanent Secretary,Ministry of Industry and Trade, Uledi Musa ( centre) from left: CBE GB Chairperson Prof M. Luhanga, CBE Rector Prof E. Mjema, Dr Jarkko Suhonen UEF,  from right; Ambassador of Finland to Tanzania, H.E. S. Antila, Prof E. Sutinen UEF, Dr M. Apiola UEF and CBE Board members ( at the back).  

LAUNCHING

Launch of the College of Business Education (CBE) and University of East Finland (UEF) HUB for SADC member states  at CBE by H.E. Ambassador of Finland to Tanzania , Sinikka Antila, P.S. Ministry of Industry and Trade, Uledi Musa, CBE Governing Body Chairperson,…

Participants

Some of the participants commenting on the presentations done by the Doctorate candidates.…

CBE Rector, Prof Emanuel Mjema.

CBE Rector, Prof E. Mjema.    

Frontpage Slideshow | Copyright © 2006-2011 JoomlaWorks Ltd.
Up

Selected candidates for academic year 2014/2015

CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA

TAWI LA DAR ES SALAAM

WAFUATAO WAMECHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO NGAZI YA CHETI (CERTIFICATE) MWAKA 2013/14 KATIKA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA TAWI LA DAR ES SALAAM.

HIVYO WANATAKIWA KUFANYA YAFUATAYO:

1.CHUKUA JOINING INSTRUCTION BLOCK ‘B’ RECEPTION.

KUANZIA TAREHE 23/6 /2014.

2.SOMA JOINING INSTRUCTIONS NA KUTEKELEZA MAAGIZO YALIYOTOLEWA.

3.NJOO KUSAJILIWA KUANZIA TAREHE 8/9/2014.

4.MWANAFUNZI ATAKAYECHELEWA NAFASI YAKE ATAPEWA MTU MWINGINE.

KWA WALE AMBAO HAWAJATUMA MAOMBI YAO NAFASI BADO ZIPO MUDA WA KUTUMA MAOMBI UMEONGEZWA HADI TAREHE 30 JUNE 2014

KARIBUNI SANA

WAFUATAO WAMECHAGULIWA KUJIUNGA NA ‘PRE – COURSE’ YA CERTIFICATE KATIKA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA,

HIVYO WANATAKIWA KUFANYA YAFUATAYO.

1.KULIPA ADA YA PRE – COURSE TSH 150,000 KWENYE ACCOUNT YA CHUO KABLA YA TAREHE 01/07/2014 KAMA IFUATAVYO

ACCOUNT NO. 2061100030 NMB ,JINA LA ‘ACCOUNT: COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION’

2.USAJILI WA PRE COURSE UTAANZA TAREHE 16/06/2014.

3.KILA MWANAFUNZI AJE NA

    1. PICHA MOJA (PASPORT SIZE)
    2. CHETI CHA KUZALIWA
    3. CHETI HALISI CHA FORM IV NA WALE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WAJE NA RESULT SLIP.
    4. MWANAFUNZI ATAKAYE CHELEWA NAFASI YAKE ATAPEWA MUOMBAJI MWINGINE

MASOMO YATAANZA TAREHE 1/07/2014 MPAKA TAREHE 14/8/2014

KWA WALE AMBAO HAWAJATUMA MAOMBI YAO NAFASI BADO ZIPO MUDA WA KUTUMA MAOMBI UMEONGEZWA HADI TAREHE 30TH JUNE 2014

  • KAMA UNA LA KUULIZA FIKA OFISI NAMBA 6 GHOROFA YA PILI ‘BLOCK D’.
 
 
Powered by Phoca Download
ic giyim bayan azdırıcı geciktirici iç giyim iç giyim